Vyanyumbani online hotel imeanzishwa mwezi wa kumi na inamilikiwa na Nelly okah Makuri.Baada ya changamoto zilizotokana na janga la corona mwalimu mstaafu na bwana yake mustaafu Mathias Makuri wankwe waliamua kufungua hoteli hii kwa minajili ya kuwawezesha wateja wengi waliokua na hofu ya misongamano ya hoteli za soko huru kwa Nia ya kuzingatia Sheria za kiafya zilizowekwa na wizara ya afya.
Vyanyumbani online hotel Ni moja wapo ya hoteli yenye kuzingatia usafi wa Hali ya juu na pia bila kuongeza chuku inatambulika kua na wapishi ngwiji na stadi kwa kukaranga,kusonga ugali na kuchemsha vyakula na kuandaa mlo wakati unaostahili na kuhitajika.
Wapishi wetu wamehitimu vyeti vya mapishi na lishe Bora kwa vitengo vya elimu ya juu nchini.
Iwapo unalalamiko la kuwasilishia vyanyumbani online hotel unaweza piga simu:
Tel:0724658158
Tel:
Email: matikmatiko807@gmail.com
Tunafuraha kubwa kukufikishia chakula ulipo na kwa garama ya hafueni.
Ilani
Hatuhusishi madeni .malipo Kwanza chakula Ni haki ya tumbo Wala usiwe na hofu baada ya kulipa

0 Comments