Ugali mayai-60/= Lipa kupitia M-pesa Kisha upokee Oda yako popote ulipo mjini kehancha juu, kehancha chini, igena, korosaro na ntunyigi bila kuchelewa.tunakufikishia ulipo Lipa na mpesa kwa namba hii: Tel:0724658158
Read moreYai boiled-30/= Lipa Kisha upokee Oda yako popote ulipo mjini kehancha juu, kehancha chini, igena, korosaro na ntunyigi bila kuchelewa.karibu mteja Lipa kupitia M-pesa Kisha taja Oda na mahali ulipo tunakuletea bila kuchelewa N…
Read moreUgali omena fry-60/= Ugali omena stew Lipa kupitia M-pesa Kisha upokee Oda yako popote ulipo mjini kehancha juu, kehancha chini, igena, korosaro na ntunyigi bila kuchelewa unafikishiwa pindi tu unapolipa Karibu mteja wetu Piga s…
Read moreMatunda salad-60/= Jiburudishe na matunda salad kwa Bei bafuu na kwa minajili ya kuongeza Kinga ya mwili tunakushauri uzigatie matunda kwa wingi.tunajali afya yako zaidi kushinda kitu chochote. Karibu mteja wetu.lipa kupitia M-p…
Read moreJuice ya matunda-50/= Juice ya matunda Ni ksh.50/=tu . Tuna aina nyigi tu machungwa nanasi,ovacado,ndimu ,ndizi,bitruti na kadalika Fanya order kwa kulipa kupitia M-pesa Kisha upokee Oda yako popote ulipo kehancha juu, kehancha…
Read moreChips kuku na soda-200/= Tunakupa nafasi ya kupata ladha tofauti tofauti kwa Bei nafuu.kiburudisho Cha kuku fry chips na soda baridi so chakula Cha mchezo.utashiba bila kypiga miayo. Karibu mteja wetu Tena na Tena bila wasiwasi…
Read moreUgali kuku stew-180/= Hope ladha na kuku stew wa kienyeji bna ugali wakutosha kwa garama ya hafueni mno.tunajali typo na garama yako Maji baridi ya friji na yakynawa yatakufukia pamoja na chumvi na toothpicks Tunakufikishia chak…
Read moreUgali kuku fry-ksh.450/= Ugali kuku fry imeandaliwa kwa ajili yako mteja .hope nafasi ya kujiburudisha na chakula hichi kitamu Lipa kupitia M-pesa na tutakuletea ulipo mjini kehancha juu, korosaro,ntunyigi, kehancha chini na ig…
Read moreUgali samaki-250/= Ugali samaki huja na mboga za kienyeji ,sukuma au kabichi kulingana hi to hitaji la mteja.maji ya kunawa , kunywa na sabuni Ni lazima Enjoy pamoja nasi kwa lishe tamu zaidi Taja Oda yako kisha kulipa kupitia…
Read moreChapati nyama-100/= Hichi Ni chakula kitamu zaidi na zaidi wapishi wetu watakuekea nyama za kutosha.nyama kwa chapati mbili Ni 120 Pata Oda yako kwa haraka bila kuchelewa malipo yetu Ni ya M-pesa.lipa Kisha taja Oda yako Namba …
Read moreChapati maharagwe-50/= Iwapo unataka chapati mbili kwa maharagwe Bei Ni 70.chapati zetu Ni tamu mno na Maharagwe sivya mchezo.pia garama yetu Ni ya hafueni Maji ya kunywa kutoka kwa friji baridi ya kutosha.pia tunakuletea ya kun…
Read moreWali maharage-60/= Wali wetu Kama kawaida Ni nambari moja bila kusahau maharagwe yaliokarangwa kwa mafuta ya kiwago sahihi na nyanya , vitungu na Dania Lipa kupitia M-pesa na utaje Oda yako na sehemu ulipo tunakuletea bila kuc…
Read moreWali kwa nyama-80/= Wali imeivishwa na kukauka maji na nyama imetokota na kua nyororo laini hata kwa kibogoyo. Kawaida maji ya friji lazima yata ambatana mlo huu. Maji ni free yani HAKUNA garama yoyote Lipa kupitia M-pesa Kisha …
Read moreUgali matumbo-100/= Tunakukaribisha kwa Moto wa wazi na upendo mkubwa bila dukuduku.matumbo kwa ugali uliyoiva na kuandaliwa na wataalam waliohitimu kwa SoMo la mapishi. Maji baridi ya friji Ni bure kwa wateja wwtu kwa Nia ya k…
Read moreUgali matumbo mboga-60/= Hope ladha tamu ya ugali matumbo mboga kwa garama nzuri isiyo nyonga mfuko.tunajali wateja zaidi Kama wafalme wetu. Chakula hiki kinakuja na maji baridi ya friji maji Ni free Lipa kupitia M-pesa Kisha t…
Read moreUgali nyama-180/= Tuna kupa nafasi ya kujiburudisha na chakula kitamu Cha nyama kienyeji kwa ugali wakutosha. Tunakuletea ulipo bila kuchelewa.lipa na upate Oda yako Tunasambaza vyakula kehancha juu, kehancha chini, igena, koro…
Read moreUgali mboga-60/= Karibu kwa chakula Cha mchana na jioni.tuna mapishi ya kupendeza ya ugali kw mboga za kienyeji na pia sukuma na kabichi na vipisi vya nyama kwa burudani kubwa kwa mteja Karibu kwa kufanya oda na utaletewa ulipo…
Read moreGet All The Latest Updates Delivered Straight Into Your Inbox For Free!
Hello, my name is Jack Sparrow. I'm a 50 year old self-employed Pirate from the Caribbean.
Learn More →
Social Plugin