Vyanyumbani online hotel inakukaribisha kwa Moyo wa wazi na mkarimu.Tunakuhakikishia mteja wetu huduma Ni Bora na yakuridhisha.
Tunakupa huduma bila kuchelewa kwa vyakula mbalimbali.huduma inaanza :

•Saa kumi na mbili asubui hadi saa moja jioni.

•Tunakupa kiamsha kunywa mda wa asubui na mda wowote unapohitaji.

•Tunakuandalia chakula Cha mchana kwa wakati unaofaa kwanzia saa nne na nusu.

•Chakula Cha jioni Tunakuandalia kwanzia saa kumi Hadi saa moja ikizidi na nusu

•Tunakupa maji Safi ya kunywa baridi kutoka kwa friji.pia Tunakuandalia ya kunawa .usafi ni moja wapo wa mvuto na pongezi kutoka kwa wateja wetu.

Wahudumu wetu Wana maadili, hekima na heshima ya juu.tunaheshimu pongezi pamoja na ushauri wa wateja wetu Kama tu wasemavyo mteja mfalme.

"Karibu Tena na Tena."