Wali kwa nyama-80/=

Wali imeivishwa na kukauka maji na nyama imetokota na kua nyororo laini hata kwa kibogoyo.

Kawaida maji ya friji lazima yata ambatana mlo huu.

Maji ni free yani HAKUNA garama yoyote

Lipa kupitia M-pesa Kisha taja mahali ulipo tunakuletea bila kuchelewa

Namba ya malipo:Tel:0724658158