Ugali matumbo-100/=
Tunakukaribisha kwa Moto wa wazi na upendo mkubwa bila dukuduku.matumbo kwa ugali uliyoiva na kuandaliwa na wataalam waliohitimu kwa SoMo la mapishi.
Maji baridi ya friji Ni bure kwa wateja wwtu kwa Nia ya kukata kiu baada yakula
Fanya order kwa kulipa uletewe ulipo mjini kehancha juu, kehancha chini, igena, korosaro Hadi ntunyigi.
Lipa kupitia M-pesa Kisha taja Oda yako tunakuletea ulipo.
Namba ya malipo:Tel:0724658158

0 Comments