Chips kuku na soda-200/=

Tunakupa nafasi ya kupata ladha tofauti tofauti kwa Bei nafuu.kiburudisho Cha kuku fry chips na soda baridi so chakula Cha mchezo.utashiba bila kypiga miayo.

Karibu mteja wetu Tena na Tena bila wasiwasi.

Lipa kupitia M-pesa Kisha upokee Oda yako.tunauza mjini kehancha juu, kehancha chini, korosaro ntunyigi na igena.tunakufikishia ulipo bila kuchelewa.

Bonyeza Namba ya malipo:

Tel:0724658158