Ugali mboga-60/=

Karibu kwa chakula Cha mchana na jioni.tuna mapishi ya kupendeza ya ugali kw mboga za kienyeji na pia sukuma na kabichi na vipisi vya nyama kwa burudani kubwa kwa mteja

Karibu kwa kufanya oda na utaletewa ulipo.

Tunasambaza vyakula kehancha juu, kehancha chini, igena, korosaro na ntunyigi.

Lipa kupitia M-pesa Kisha taja Oda na mahali ulipo tunakuletea bila kuchelewa.

Namba ya malipo:Tel:0724658158