Matunda salad-60/=

Jiburudishe na matunda salad kwa Bei bafuu na kwa minajili ya kuongeza Kinga ya mwili tunakushauri uzigatie matunda kwa wingi.tunajali afya yako zaidi kushinda kitu chochote.

Karibu mteja wetu.lipa kupitia M-pesa Kisha upokee Oda yako popote ulipo kehancha juu, kehancha chini, igena, korosaro na ntunyigi . tunakuletea ulipo baada ya kulipa oda

Namba ya malipo:Tel:0724658158